Tukienzi Kiswahili

TUKIENZI KISWAHILI Huru kajinyakulia, vifijo tu kapigisha, Tusiomaizi njia, ukoloni twaregesha, Dahizo tawapatia,muweze kujiregesha, Adha kwangu lugha geni, tukienzi Kiswahili. Tele togoo taipa, ili mueze elewa, Sikio kiweza nipa, ndo upate uelewa, Ja maneno sitokopa , makini sikiliziwa, Adha kwangu lugha geni, tukienzi kiswahili. Tabasamu wajivika, bapa waishi maisha, Koloni mbali taweka,Kiswahili kiamsha, Kama swahili tamka, … Continue reading Tukienzi Kiswahili

Advertisements

THE FEMALE HISTORY MAKER IN EAST, WEST AND CENTRAL AFRICA!

Some days after celebrating World Women's Day on 8th March, the esteemed Masinde Muliro University of Science and Technology students on 11th March marked history  by being the first ever public university in East, West and Central Africa to elect a female as the chair of the University Student Governing Council. Winnie Opiyo Nyandiga is … Continue reading THE FEMALE HISTORY MAKER IN EAST, WEST AND CENTRAL AFRICA!